Swahili Teacher & Tutor: Muki Seven
Classes online via email, text chat, voice chat.
Buy custom lessons from Muki Seven.
Profile of Muki Seven
|
Date: July 5, 2023
|
The Basics
|
Name: |
Muki Seven
|
|
Feedback rating:
|
No student feedback
|
Self-study lessons:
|
No online lessons
|
Language(s) to teach: |
(N) = Also native language of teacher.
|
City: |
Dodoma |
State, province or region: |
Dodoma city |
Country: |
Tanzania |
Services: |
Teaching Tutoring
|
Lessons delivery: |
Email Text chat Voice chat
|
|
|
Program Summary
|
Class sizes available: |
9 or more students
|
Student proficiency levels: |
Beginner Intermediate Advanced
|
Facets available:
|
Conversation
|
 
|
|
Teaching Approach
|
|
|
Natumia njia rahisi kama michoro, utamaduni ikiwemo mavazi,chakul a,salamu.pia natumia tanakali za semi, nahau, methali mbalimbali ili kuhakikisha lugha ya kiswahili inaeleweka kwa wazungumzaji. Matarajio yangu ni kufundisha na kumfikia kila mwenye uhitaji wa kutaka kujua lugha ya kiswahili
|
Program Description
|
|
|
Katika kazi yangu ya uwalimu nimefundisha kwa zaidi ya miaka miwili, nimewafundish a hasa watoto wanaoanza kujua lugha ya kiswahili, nimefanikiwa kwa asilimia 90 kuwezesha wanafunzi wangu kuandika na kuzungumza lugha ya kiswahili kwa ufasaha, napenda kusaidia watu wengine ambao wangependa kujifunza lugha ya kiswahili, mimi nazungumza kiswahili na ni mwalimu wa lugha wa kiswahili.
|
Teaching Experience
|
|
|
Nina miaka zaidi ya miwili katika ufundishaji wa lugha ya kiswahili hasa kwa wale wanaonza na ata pia wale walio kwenye level ya juu, kwasababu nimesomea uwalimu wa lugha ya kiswahili
|
Teacher Training
|
|
|
Nina shahada ya ualimu kwa masomo ya kiswahili na jogfrafia, kwa sasa nafundisha watoto lugha ya kiswahili, nafanya kazi kama mwalimu binafsi nisie na ofisi maalumu
|
Frequently Asked Questions
|
|
|
Ratiba ya kujifunza,ni kuanzia jumatatu hadi ijumaa saa nne asubuhi mpaka saa sita mchana Malip o hufanyika baada ya kujifunza kwa siku husika, yaan nikishafundis ha katika siku fulani malipo hufuata baada ya kujifunza Uz oefu unaofanya niwe mwalimu bora ni kwasababu napenda kujumuika katika matamasha ya kiswahili na semina mbalimbali zinazohusu lugha hasa lugha ya kiswahili. Lakini pia uwa napenda kutazama midahalo mbalimbali ya lugha ya kiswahili.
|
Cost of Lessons
|
|
|
20,000 tsh per day
|
Activity
|
|
|
Profile Creation: |
July 5, 2023
|
Profile Last Edit: |
July 5, 2023
|
Last Login: |
July 5, 2023
|
|
Contact Information
|
|
|
Buy custom lessons from Muki Seven.
Send email here.
Telephone contact is not available. Please send email here.
|
|
|
|
Contact Muki Seven now to buy personal and custom lessons.
Write a review of this teacher
Search teachers
|
Featuring over 91 languages, including...
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
Online courses and tutors:
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
To view all languages, please click .
|
|
|
Featuring locations all over the world, including...
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
To view all locations, please start by choosing your country .
|
|
|
|
|
Copyright © 2003-2024 mylanguageexchange.com
|