Language Exchange Partners Teachers
Learners: Find Teachers  Create Profile FAQ's Login
Teachers & Schools: Find Learners  Create Profile FAQ's Login
Welcome Guest!   Log in   Sign up
Find Teachers    Find Learners    Self-study
Self-study: Lessons  - Quizzes  - Articles  - Create
Welcome Guest!

Home
Online Language Courses
Jobs
Contact Us
Join!

Swahili Teacher: Menna Yasser

Classes online via email.

Buy custom lessons from Menna Yasser.

 Profile of Menna Yasser Date: September 25, 2018 
The Basics
Name: Menna Yasser
Feedback rating: No student feedback
Self-study lessons: No online lessons
Language(s) to teach:
(N) Swahili

(N) = Also native language of teacher.
City: egypt
State, province or region: cairo
Country: Egypt
Services:
  • Teaching
  • Lessons delivery:
  • Email
  •  
    Program Summary
    Class sizes available:
  • 4-8 students
  • 9 or more students
  • Student proficiency levels:
  • Beginner
  • Intermediate
  • Advanced
  • Facets available:
  • Grammar
  • Conversation
  •  


    Teaching Approach


    baada ya kumaliza kueleza yote yanayohusu lugha na sarufi zake. tunaweza kuzungumza pamoja kama watanzania kuhusu maudhui yoyote na kufasiri nyimbo au hata habari tofauti katika nyanja mbalimbali.


    Program Description


    Good morning, i will write in swahili language okey.
    jina langu ni Menna Yasser, mwalimu wa kiswahili kwa wanafunzi katika umri yoyote.naweza kufundisha lugha hii kwa mtu yeyote toka mwanzo hadi mwisho ili kuzungumza kiswahili kama mtu mtanzania au mkenya. naanza kozi yangu ya kiswahili kwa wanafunzi kupitia taarifa muhimu zinazohusu lugha ya kiswahili na nchi yake kisha, vipi naweza kutamka herufi zake na sauti zake kisha, kuchukua misamiati maarufu sana, rangi, wanyama, mbogamboga, matunda na mambo mengi sana. kujua nyakati za kiswahili, kisha kuanza kueleza ngeli zote zake na sarufi zote. kufanya mazungumzo,ku sikliza,kufasi ri mambo tofauti na kadhalika.


    Teaching Experience


    mimi ni mwalimu wa kiswahili katika mahali pa elimu toka miezi 6, mwalimu wa kiingereza na kijerumani toka mwaka mzima, pia najitolea katika baraza la vijana , baraza hilo linalohusisha na wizara ya vijana na riadha.pale mimi ni mtangazaji wa swahili programu.


    Teacher Training


    nimemaliza masomo yangu toka chuo kikuu cha Ain shams, kitivo cha Al alsun, sehemu ya lugha za kiafrika, lugha ya kiswahili. nifanya mafunzo mengi sana katika mahali pengi sana kwa mfano: uwanja wa ndege nchini cairo, taasisi kuu kwa maarifa, jengo la idhaa na runinga. nilichukua koza ya kiingereza pia.


    Frequently Asked Questions


    kama nilivyosema, mimi nina utaratibu maalumu katika koza yangu, mazungumzo, kusikliza, kufasiri, kufanya mafunzo katika lugha.
    unaweza kulipa pesa kupitia vodafon cash or posta or anything else.


    Cost of Lessons


    nachukua 200 pauni katika saa moja.


    Activity


    Profile Creation: September 25, 2018
    Profile Last Edit: September 25, 2018
    Last Login: March 18, 2022


    Contact Information


    Buy custom lessons from Menna Yasser.
    Send email here.
    Telephone contact is not available. Please send email here.

    Contact Menna Yasser now to buy personal and custom lessons.


    Write a review of this teacher
    Search teachers  






    Featuring over 91 languages, including...
    English, Spanish, French, Italian, German, Japanese, Korean, Chinese (Mandarin), Chinese (Cantonese), Portuguese, Russian, Thai, Swedish, Greek, Arabic (Egyptian), Arabic (Middle Eastern), Arabic (Moroccan), Arabic (other)

    Online courses and tutors:
    English, Spanish, French, Italian, German, Japanese, Korean, Chinese (Mandarin), Chinese (Cantonese), Portuguese, Russian, Thai, Swedish, Greek, Arabic (Egyptian), Arabic (Middle Eastern), Arabic (Moroccan), Arabic (other)

    To view all languages, please click here.

    Featuring locations all over the world, including...
    London, New York City, Toronto, Buenos Aires, Montreal, Los Angeles, Chicago, Paris, Sydney, Tokyo, Tehran, Kuala Lumpur, Madrid, Melbourne, Houston, Istanbul, Taipei, Boston, Barcelona, San Diego, Atlanta, Bangalore, Seattle, San Francisco, Bangkok, Mumbai, Vancouver, Singapore, Dallas, Philadelphia, Manchester, Miami, Chennai, Karachi, Shanghai, Beijing, Sao Paulo, Cairo, Dubai, Seoul, Washington DC, Brisbane, Manila, Moscow, Hyderabad, Ottawa, Portland, California, Calgary, Lahore, Auckland, Lima, Orlando, Delhi, Jakarta, Perth, Dublin, Zagreb, Columbus, Rome, Denver, Sacramento, Milan, Phoenix, Detroit, Mexico City, Ankara, Pittsburgh, Athens, Birmingham, Minneapolis, Las Vegas, San Jose, Osaka, Quebec City, Berlin, Bucharest, Brooklyn, Edmonton, Glasgow, Pune, New Delhi

    To view all locations, please start by choosing your country here.



    Privacy | Membership Agreement | Help 

    Copyright © 2003-2024 mylanguageexchange.com