Swahili Teacher & Tutor: Salumu Iddy
Private lessons, classes in Dar es salaam, Tanzania, Tanzania or online via telephone, email, text chat, voice chat.
Buy custom lessons from Salumu Iddy.
Profile of Salumu Iddy
|
Date: September 15, 2010
|
The Basics
|
Name: |
Salumu Iddy
|
|
Feedback rating:
|
No student feedback
|
Self-study lessons:
|
No online lessons
|
Language(s) to teach: |
(N) = Also native language of teacher.
|
City: |
Dar es salaam |
State, province or region: |
Tanzania |
Country: |
Tanzania |
Services: |
Teaching Tutoring
|
Lessons delivery: |
Live in person Telephone Email Text chat Voice chat
|
|
|
Program Summary
|
Class sizes available: |
Private Lessons 2-3 students 4-8 students 9 or more students
|
Student proficiency levels: |
Beginner Intermediate Advanced
|
Facets available:
|
Grammar Conversation Study Abroad Business
|
 
|
|
Teaching Approach
|
|
|
Kuna mbinu mbalimbali katika ufundishaji wa lugha. Nitatumia zaidi mbinu ya kisarufi na ile ya kimawasiliano kwa kuwa mbinu hizi kwa kiasi kikubwa humsaidia mwanafunzi katika kuwasiliana na jamii ya lugha lengwa. Lengo ni kuhakikisha mwanafunzi anakabiliana kwa urahisi na mazingira ya kimawasiliano ya jamii inayomzunguru ka. Nawakaribisha wote. Salumu
|
Program Description
|
|
|
Katika mafunzo haya, mbinu zangu za ufundishaji zitalenga zaidi malengo ya wanafunzi. Aidha, mafunzo haya yatakuwa ni ya kimawasiliano zaidi ambapo wanafunzi husika watajifunza zaidi kivitendo, jinsi lugha ya kiswahili inavyotumika katika maisha ya kila siku katika jamii za kiafrika. Nawakaribisha wote katika mafunzo haya. Salumu .
|
Teaching Experience
|
|
|
Yapata miaka mitatu tangu nimeanza kufundisha masomo ya lugha. Mbali ya kuwa nilikuwa mwalimu lugha (Kiswahili, Kiiereza na Kifaransa) wa sekondari katika baadhi ya shule jijini Dar es salaam, Tanzania. Kwasasa ninamalizia shahada yangu ya lugha katika chuo kikuu cha Dar es salaam, Tanzania huku nikiendelea na darasa la wanafunzi kadhaa kutoka nchi jirani. Nimategemeo yangu kwamba kwa yeyoteatakaye jiunga nami atafaidika kwa kiasi kikubwa katika nyanja ya kimawasiliano kwa jamii lengwa.
|
Teacher Training
|
|
|
Mimi nimemaliza shahada ya lugha (Kiingereza, Kiswahili Kifaransa na Isimu)katika chuo kikuu cha Dar es salaam. Nimehitimu masomo yangu mwezi wa nane mwaka huu (2009). Kwa sasa mimi ni mwajiliwa katika chuo kikuu cha Sokoine, ninafundisha mbinu za mawasiliano pia, ninaendesha masomo ya kiswahili kwa wanafunzi binabsi wanaokuja kufanya kozi za muda mfupi katika chuo kikuu cha Dar es salaam, na wengine kutoka nchi jirani za Tanzania.
|
Cost of Lessons
|
|
|
Please contact for information.
|
Activity
|
|
|
Profile Creation: |
May 20, 2009
|
Profile Last Edit: |
September 15, 2010
|
Last Login: |
September 15, 2010
|
Response time of most recent learner enquiry: |
|
|
Contact Information
|
|
|
Buy custom lessons from Salumu Iddy.
Send email here.
Telephone contact is not available. Please send email here.
|
|
|
|
Contact Salumu Iddy now to buy personal and custom lessons.
Write a review of this teacher
Search teachers
|
Featuring over 91 languages, including...
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
Online courses and tutors:
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
To view all languages, please click .
|
|
|
Featuring locations all over the world, including...
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
,
To view all locations, please start by choosing your country .
|
|
|
|
|
Copyright © 2003-2024 mylanguageexchange.com
|